Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Snoop Dogg arudia uvutaji sigara siku tatu baada ya kutangaza ‘kuacha’ hadharani
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023
December 9, 2023
Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe
December 9, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Misondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
December 9, 2023
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa
December 8, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Snoop Dogg arudia uvutaji sigara siku tatu baada ya kutangaza ‘kuacha’ hadharani
Entertainment

Snoop Dogg arudia uvutaji sigara siku tatu baada ya kutangaza ‘kuacha’ hadharani

November 21, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Siku nne tu baada ya kutangaza kuwa “ameamua kuacha kuvuta sigara,” nguli wa muziki wa hip-hop kutoka Marekani, Calvin Cordozar Broadus Jr., maarufu kama Snoop Dogg, amejitokeza na kufafanua kuwa “uvutaji” alioacha haukuwa bangi.

Katika video ya  iliyopostiwa  kupitia akaunti yake X siku ya Jumatatu, Snoop Dogg alisema ” not going smokeless with Solo Stove.”.”

Katika video hiyo rapper huyo alisikika akisema;

“Nina tangazo, naacha kuvuta sigara. Najua unachofikiria, ‘Snoop, kuvuta sigara kumebeba umaarufu wako wote.’ Lakini nimemaliza. Nikaa bila kuvuta sigara. yaani nitaacha Solo Stove fixed fire

Tangazo lake la awali kwamba alikuwa akiacha kuvuta sigara “baada ya kufikiria sana na mazungumzo” na familia yake, lilifanya mashabiki wake na wafanyakazi wenzake kufikiri kwamba alikuwa akimaanisha uraibu wake wa muda mrefu wa bangi.

Mwanamuziki mwenzake, Meek Mill alikuwa ametangaza kuiga mfano huo kwa kuhamia Dubai kuacha kuvuta sigara, akisema alipatikana na ugonjwa wa emphysem.

You Might Also Like

Usiku huu: Balaa la Misso Misondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo

Sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya jukwaa la Shuledirect

OSHA wafanikiwa kupunguza na kuondoa ada za huduma mbalimbali kupunguza urasimu

Chelsea wakataa ofa zozote za kumnunua Armando Broja

LATRA imetangaza kuanza kutumika rasmi kwa nauli za mabasi na daladala

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA November 21, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Jezi 6 za messi za kombe la dunia kuuzwa zaidi ya bil 24.9
Next Article Watoto 28 waliozaliwa kabla ya wakati wao wanapokea huduma nchini Misri
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023
Top Stories December 9, 2023
Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe
Top Stories December 9, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
Top Stories December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Misondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
Entertainment December 9, 2023

You Might also Like

Entertainment

‘Ulivyo muongo, ndivyo mzunguko wako utakuwa mkubwa’ – Burna Boy

December 8, 2023
Entertainment

‘Hii ni sababu ya kwa nini napenda familia zenye wake wengi’ – Teni

December 8, 2023
Entertainment

Rapper Kodak Black, akamatwa baada ya kupatikana na dawa za kulevya aina ya cocaine

December 8, 2023
Entertainment

Daddy Yankee, amestaafu rasmi muziki sasa ‘kuhubiri ulimwengu habari za Yesu’

December 7, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?