Habari za Mastaa

Sentensi zilizotoka kwa Snura baada ya wimbo wake wa ‘Chura’ kusitishwa

on

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori  zote za May 05 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori hizo ni hii Snura pamoja na Meneja wake HyperMan HK kuomba Radhi kutokana na hatua zilizochukuliwa na Wizara dhidi ya wimbo wa ‘Chura’.

Snura amezungumza haya……….>>>’Kabla ya Serikali kutangaza mimi mwenyewe nilipewa barua kabla kwa hiyo jana waandishi wa habari walivyoitwa mimi nilikuwa najua na leo nilijua nitaongea mimi baada ya Wizara kutoa tamko’

>>>Serikali ilichoamua nikuusitisha wimbo wa Chura na Video yake mpaka nitakapo urekebisha na sio kwamba nimefungiwa kazi zangu zote‘:- Snura 

Kusikiliza stori zote zilizopata airtime bonyeza Play hapa chini….

13117892_470054513204168_2008092379_n(1)

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIKOSA DAKIKA 18 ZA BURUDANI YA CHRISTIAN BELLA KWENYE SHOW  YA ‘THE FIRST FRIDAY’? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments