Habari za Mastaa

Ni kweli tumemiss Snura, umeisikiliza mpya aliyorudi nayo ft. Nay wa Mitego? ninayo hapa

on

snura 1Ni staa bongoflevani alieletwa kwenye chati za bongofleva kupitia hit single ya ‘majanga’ ambayo ilikaa kwenye nyimbo tano za juu kwa zaidi ya wiki 7 mfululizo Tanzania.

Tukiyaacha yaliyopita, jipya la sasa ni hii yake mpya Ft. Nay Wa Mitego kwenye single inaitwa ‘Hawashi

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments