on air with millardayo

Vikatuni alivyotumiwa Snura kwenye simu na kumchekesha kuhusu video ya ‘chura’ kufungiwa

on

Msanii wa bongofleva Snura aliingia kwenye headlines toka May 4 2016 baada ya serikali kutangaza kusitisha show zake zote mpaka atakapojisajili kama msanii kwenye baraza la sanaa Tanzania (BASATA) na kuifanyia marekebisho video yake ya ‘chura‘ ambayo ilionekana kukosa maadili.

Pamoja na hayo yote, Snura alikutana na vichekesho au utani uliosambazwa baada ya video ya ‘chura’ kufungiwa, anavitaja hapa chini kwenye hii video.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments