on air with millardayo

EXCLUSIVE: Snura ‘sijaonewa hata kidogo na nimeshalipa Elfu 75 yao tayari’

on

Msanii wa bongofleva Snura ndio ametrend sana wiki hii baada ya video yake ya ‘chura‘ kufungiwa na serikali hadi itakaporekebishwa, amekaa kwenye Exclusive Interview ya OnAIRwithMillardAyo na kueleza vitu Watanzania wanatakiwa kufahamu kwenye hii video hapa chini..

ULIIKOSA YA WASTARA KUELEZA SABABU ZA NDOA YAKE KUVUNJIKA NDANI YA SIKU 80? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments