Michezo

Hivi ndivyo mastaa hawa wakongwe wa soka ZIDANE, RONALDO na OKOCHA walivyokutana kwa mara nyingine uwanjani…(PICHAZ)

on

delimaaWakongwe wa soka duniani jana usiku waliwafurahisha mashabiki wao katika mji wa St Etienne Ufaransa walipata bahati kubwa kuwaona magwiji hao soka wakipambana.

zidaneTimu mbili za marafiki wa Zinedine Zidane na Ronaldo de Lima zilicheza mchezo wa kuchangisha pesa kwa ajili ya kusaidia mapambano ya Ebola pamoja na kupambana na umaskini.

zii

Timu ya Zidane ilishinda kwa mabao 9-7 dhidi ya ile ya Ronaldo katika mchezo uliovutia mashabiki wengi.

delima

Wakongwe wengine waliofanikiwa kuwepo kweye pambano hilo ni pamoja na Clarence Seedorf, Fabian Barthez, Jay-Jay Okocha na Gianluca Zambrotta .


povertUnahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments