Top Stories

Maneno 37 aliyoandika Jesca Kishoa leo “Tuna Mawaziri wasanii”

on

April 16, 2018 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Jesca Kishoa ambaye pia ni Mke wa aliyewahi kuwa Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila aliandika maneno 37 kupitia ukurasa wake wa Instagram  akionesha kutoridhishwa na hoja yake aliyowasilisha Bungeni Dodoma

Jesca Kishoa aliandika…>>>”Leo nilipoomba muongozo na kuitaka serikali itoe clear position kuhusiana na madai ya walimu wenzangu waliohamishwa kutoka sekondari kwenda shule za msingi. Ni bahati mbaya tunamawaziri wanaofanya usanii wa kisiasa hata kwenye mambo ya msingi kama haya.”

Sababu za Waziri Mpina kumtumbua Meneja wa kitengo cha bahari

Soma na hizi

Tupia Comments