Michezo

Miongoni mwa mechi za Serengeti Fiesta Soka Bonanza zinazoendelea mchana wa August 08 Mwanza.

on

68bnzKutoka viwanja vya Polisi Mabatini hiki ndicho kinachoendelea ambapo ni sehemu nyingine ya party ya fiesta ambayo huwa inatanguliwa kabla ya tamasha lenyewe la Fiesta litakalofanyika August 09 kwenye uwanja wa Ccm Kirumba.

Hizi ni bar ambazo wamejikusanya na kutengeneza timu kisha kuchuana,Clouds Fm pia iko live maeneo haya kwa mkazi wa Mwanza unaweza kusikiliza kupitia masafa ya 88.1.

Hizi ni picha wakati mechi zikiendelea mchana huu wa August 08.

72bnz

64bnz

63bnz

57bnz

56bnz

55bnz

51bnz

52bnz

61bnz

46bnz

45bnz

43bnz

41bnz

40bnz

39bnz

30bnz

37bnz

36bnz

22bnz

23bnz

20bnz

19bnz

18bnz

17bnz

16bnz

8bnz

1bnz

5bnz

7bnz

Tupia Comments