AyoTV

VIDEO: Moshi wa samaki soko la Ferry bado haujazuiwa kuingia Ikulu ya Magufuli

on

Moja ya ripoti zilizogusa kwenye vichwa mbalimbali vya habari Bongo ilikuwa ishu ya kubadilishwa kwa majiko yanayotumiwa na wauza samaki eneo la Ferry Dar, ishu kubwa ikiwa ni kero ya moshi uliokuwa ukisambaa maeneo hayo. Tayari ripota wako nimekusogezea hii video ujionee hali ilivyo hadi sasa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments