Top Stories

Solskjaer aanza tambo

on

Tambo zimeanza kwa kocha wa timu hiyo, Ole Gunnar Solskjaer mara baada ya ushindi huo akidai kuwa wachezaji wake wako vizuri kuanzia utimamu wa mwili na kiakili na namna wanavyojituma kwa maslahi ya klabu hiyo.

“Tumefanya vizuri katika michezo mingi migumu, hilo ndilo jambo kubwa ambalo naendelea kusisitiza kwa wachezaji kwamba tunahitaji kushinda michezo mingi, tumeonyesha mabadiliko akili za wachezaji zinaonyesha zinahitaji ushindi.” Solskjaer.

Kocha huyo aliyewahi kuitumikia klabu hiyo kama mchezaji alisema amevutiwa na kiwango cha kiungo Paul Pogba ambaye amekuwa akiamua matokeo ya ushindi michezo ya mwisho ya timu hiyo.

TAZAMA TRUMP ALIVYOONDOKA WHITE HOUSE NA HELIKOPTA NA KUAHIDI ATARUDI KWA NJIA NYINGINE

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments