Michezo

Son Heung-min amaliza mafunzo ya kijeshi South Korea

on

Staa wa Tottenham Hotspurs Son Heung-min ,27, amemaliza mafunzo ya kijeshi kwa mujibu wa sheria za nchi yake ya South Korea .

Sheria ya South Korea toka 1957 inataka kila kijana wa taifa hilo kuanzia umri wa miaka 18 na kabla ya kuvuka miaka 28 atatakiwa kwenda jeshini kwa miezi 21.

Wanamichezo ambao huiletea heshima nchi hiyo kwa kutwaa mataji makubwa kama ilivyokuwa kwa Son aliyetwaa Asian Game 2018 hupata msamaha na kwenda jeshini kwa muda wa wiki nne.

Soma na hizi

Tupia Comments