Habari za Mastaa

Unatamani kusikia wimbo mwingine alioachia Iyanya baada ya ile collabo yake na Diamond..?(Audio)

on

iyanya

Iyanya amekua akifanya vizuri katika industry ya muziki ndani na nje ya nchi yake ya Nigeria.

Baada ya ile collabo yake aliyomshirikisha Diamond ya ‘Nakupenda’ sasa ameamua kuja na nyimbo nyingine mpya ambayo unaambiwa amemwimbia mtu special.

Nakukaribisha kusikiliza single yake ‘Applaudise’.

 Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

 

Tupia Comments