Mix

Sophia Nyerere afariki Dunia, RC Makongoro athibitisha

on

Leo July 27, 2021 moja kati ya taarifa tulizonazo ni juu ya kifo cha Sophia Nyerere ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliefariki katika hospitali ya Mzena alipokuwa anapatiwa matibabu. Sophia alikuwa mtoto wa marehemu Kapteni John Nyerere ambaye ni mtoto wa nne wa Hayati Julius Nyerere.

 

 

 

Tupia Comments