Habari za Mastaa

Full List: Washindi tuzo za SoundcityMVP2016, Mtanzania ni mmoja

on

Tuzo za Soundcity  kama ilivyo tuzo nyingine kubwa za vituo vya TV, ni tuzo zinazotolewa na kituo cha Soundcity ambacho maarufu kwa kutoa habari za burudani na muziki masaa 24. Tuzo zilifanyika Lagos Nigeria December 29, na Wizkid na Tecno ndio wasanii walioongoza kwa kuondoka na tuzo nyingi.

Alikiba kutoka Tanzania ameiwakilisha BongoFlava baada ya wimbo wake AJE kuchukua tuzo ya video bora ya mwaka. Watanzania wengine waliokuwa wakiwania tuzo hizo ni Vanessa Mdee na Diamond Platnumz.

Nimekusogezea listi ya washindi wa tuzo pamoja na wote waliokuwa wakioania tuzo hizo.

BEST MALE

Diamond Platinumz (TANZANIA)
Emtee (SOUTH AFRICA)
Wizkid (NIGERIA) – WINNER
Falz (NIGERIA)
Olamide (NIGERIA)
Patoranking (NIGERIA)
Phyno (NIGERIA)

BEST FEMALE
Tiwa Savage (NIGERIA)
Victoria Kimani (KENYA)
Yemi Alade (NIGERIA) – WINNER
Vanessa Mdee (TANZANIA)
Cynthia Morgan (NIGERIA)
Ms Vee (GHANA)
Simi (NIGERIA)

BEST HIP HOP
Cassper Nyovest (SOUTH AFRICA) – WINNER
Olamide (NIGERIA)
CDQ (NIGERIA)
Emtee (SOUTH AFRICA)
El (GHANA)
Riky Rick (SOUTH AFRICA)
Stanley Enow (CAMEROON)
Phyno (NIGERIA)

BEST POP
Wizkid (NIGERIA)
Kiss Daniel (NIGERIA) – WINNER
Tekno (NIGERIA)
Yemi Alade (NIGERIA)
Adekunle Gold (NIGERIA)
Timaya (NIGERIA)
Tiwa Savage (NIGERIA)

DIGITAL ARTISTE OF THE YEAR
PSquare (NIGERIA)
Wizkid (NIGERIA)
AKA (SOUTH AFRICA)
Tiwa Savage (NIGERIA)
Davido (NIGERIA)

Cassper Nyovest (SOUTH AFRICA)
Tekno (NIGERIA) – WINNER

BEST COLLABORATION
Mr Eazi Ft Efya – Skintight (NIGERIA / GHANA)
Patoranking Ft Sarkodie – No Kissing (NIGERIA / GHANA)
Eddy Kenzo Ft Niniola – Mbilo Mbilo Remix (UGANDA / NIGERIA)
Emtee Ft Wizkid & AKA – Roll Up (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
DJ Maphorisa Ft Wizkid & DJ Buckz – Soweto Baby (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
Phyno Ft Olamide – Fada Fada (NIGERIA)
Olamide Ft Wande Coal – Who You Epp (NIGERIA) – WINNER
Harrysong Ft Olamide, KCee – Raggae Blues (NIGERIA)
Masterkraft Ft Flavour & Sarkodie – Finally (NIGERIA / GHANA)

VIDEO OF THE YEAR
Pana – Tekno Directed by Clarence Peters (NIGERIA)
Aje – Alikiba, Directed by Meji (NIGERIA) – WINNER
Babanla – Wizkid, Directed by Sesan (NIGERIA)
One time – AKA, Directed by AKA & Alessio (SOUTH AFRICA)
Sin City – Kiss Daniel, Directed by H2G Films (NIGERIA)
Emergency – D’Banj, Directed by Unlimited L.A (NIGERIA)
Made for you – Banky W, Directed by Banky W (NIGERIA)
Gbagbe Oshi – Davido, Directed by Slash (NIGERIA)
Pray for me – Darey, Directed by MEX (NIGERIA)

BEST GROUP OR DUO
Sauti Sol (KENYA) – WINNER
Mafikizolo (SOUTH AFRICA)
Micasa (SOUTH AFRICA)
Navy Kenzo (TANZANIA)
R2Bees (GHANA)
Toofan (TOGO)

PSquare (NIGERIA)
VVIP (GHANA)

SONG OF THE YEAR
Kwesta ft. Cassper Nyovest – Ngud (SOUTH AFRICA)
Mr Eazi – Hol Up (NIGERIA)
Patoranking ft Sakordie – No Kissing (NIGERIA)
Wizkid – Babanla (NIGERIA)
Tekno – Pana (NIGERIA) – WINNER
Emtee ft Wizkid – Roll Up (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
DJ Maphorisa ft Wizkid & DJ Buckz – Soweto Baby (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
Olamide ft Wande Coal – Who You Epp (NIGERIA)
D’banj – Emergency (NIGERIA)

BEST NEW ARTISTE

Koker (NIGERIA)
YCee (NIGERIA)
Mr Eazi  (NIGERIA) – WINNER
Emtee (SOUTH AFRICA)
Simi (NIGERIA)
Niniola (NIGERIA)
Tekno (NIGERIA)
Nasty C (SOUTH AFRICA)

VIEWERS CHOICE
Mr Soldier – Falz ft. Simi (NIGERIA) – WINNER
Babanla – Wizkid (NIGERIA)
Osinachi – Humblesmith ft. Davido (NIGERIA)
Pana – Tekno (NIGERIA)
Hollup – Mr Eazi (NIGERIA)
Pick Up – Adekunle Gold (NIGERIA)
Mama – Kiss Daniel

LISTENERS CHOICE
Lagos to Kampala – Runtown ft. Wizkid (NIGERIA)
Babanla – Wizkid (NIGERIA)
Omo Alhaji – YCee (NIGERIA)
Pana – Tekno (NIGERIA) – WINNER
Who You Epp – Olamide ft Wande Coal (NIGERIA)
Oluwa ni – Reekado Banks (NIGERIA)
Pick Up – Adekunle Gold (NIGERIA)
Skintight – Mr Eazi ft Efya  (NIGERIA/GHANA)

AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
Wizkid (NIGERIA) – WINNER
Vanessa Mdee (TANZANIA)
Diamond Platinumz (TANZANIA)
Sarkodie (GHANA)
Yemi Alade (NIGERIA)
Olamide (NIGERIA)

AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR
DJ Maphorisa (SOUTH AFRICA) – WINNER
Gospel on the Beat (NIGERIA)
Masterkraft (NIGERIA)
Young John (NIGERIA)
Legendury Beats (NIGERIA)
Sess the problem kid (NIGERIA)

Video: MASHAMBULIZI YA ALIKIBA, BARAKA NA DIMPOZ AFTER SCHOOL BASH 2016>>> 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments