Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Southampton kuipiga tafu Serengeti Girls
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Southampton kuipiga tafu Serengeti Girls
Sports

Southampton kuipiga tafu Serengeti Girls

June 17, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania inakwenda kushirikiana na club ya Soka ya Southampton kuwandaa makocha wa soka ili wawe kwenye kiwango cha kimataifa.

Waziri Mchengerwa amesema haya leo juni 17, 2022 ofisini kwake akiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara yake, Dr. Hassan Abbasi wakati alipokutana na ujumbe wa Klabu hiyo ulioongozwa na Afisa Biashara Mkuu wa Klabu hiyo David Thomas.

Amesema dhamira ya Serikali ni kuona kuwa michezo mbalimbali inasimamiwa kisayansi ili kuleta tija ikiwa ni pamoja na kuwa na makocha ambao watasaidia kufundisha timu za micherzo ili kufuka kwenye kiwango cha kimataifa.

Katika kikao hicho wamekubalina kuwa Timu ya soka ya ya Wanawake chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls) itakwenda kupatiwa mafunzo maalum kwenye Klabu hiyo ikiwa ni maandalizi ya kwenda kwenye mashindano ya kombe la dunia nchini India.

Katika tukio hilo ujumbe wa timu hiyo ulimzawadia jezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kuthamini mchango wake mkubwa anaoutoa kuendeleza michezo nchini.

You Might Also Like

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

Gianni Infantino achaguliwa tena kuwa Rais FIFA.

FIFA : Uwanja wa michezo wa Pele mjini Kigali wazinduliwa rasmi.

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA June 17, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwigulu alivyopendekeza Magari yalipe fedha yanapopita Daraja la Tanzanite (video+)
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 18, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?