Ad
Ad

Top Stories

Spika Ndugai “Mama Samia hatabiriki, msitoe siri, hatujui leo tutatokaje” (+video)

on

“Jana tulikuja hapa kushuhudia kiapo cha Makamu wa Rais Mpango ila tukakutana na mengine (Mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri), Mama (Rais Samia Suluhu) hatabiriki, hata leo hatujui kama tutatoka salama hapa, kwahiyo kwakuwa hatabiriki mlioteuliwa chapeni kazi”——Spika Ndugai mbele ya Rais Samia Suluhu leo Ikulu Chamwino Dodoma baada ya kiapo cha Viongozi wapya

Soma na hizi

Tupia Comments