Kutoka Bungeni jijini Dodoma leo May 16 20222, Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu wabunge 19 wa CHADEMA waliovuliwa uanachama ambapo Spika amekiri kupokea barua ya wabunge hao 19 wakimuarifu kuwa mchakato huo si halali na ni kinyume cha katiba hivyo wameamua kupinga maamuzi hayo mahakama kuu ya Tanzania
Aidha Spika amesema alipokea pia barua kutoka CHADEMA ikimtaarifu kuwavua uanachama wabunge hao 19.
VIDEO ZARI ALIVYOJIACHIA KWENYE USIKU WA JUX KIDIMBWI BEACH, ACHEZA NA KUIMBA