Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tnaznia, Dr. Tulia Ackson amesema wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA waliopo bungeni wapo kihalali.
Hata hivyo amesema anasubiri michakato halali ndani ya chama chao na ngazi zingine ikithibitika hakuna shida atatekekeza takwa la kikatiba.