Top Stories

Spika Ndugai aziita kamati za Bunge Dodoma

on

Kamati za Bunge zitakutana Jumatatu tarehe 19 Agosti hadi tarehe 02 Septemba 2019, Jijini Dodoma kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi na Sita wa Bunge uliopangwa kuanza tarehe 3 Septemba 2019.

Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb), ameziita Kamati hizo kuanza shughuli zake tarehe hiyo kwa mujibu wa Kanuni ya 117 (5) ya Kanuni za Kudumu za Bunge.

LIVE AIRPORT: MARAIS WANAPOKELEWA KWA AJILI YA SADC

Soma na hizi

Tupia Comments