AyoTV

VIDEO: “Haiwezekani nikulipe, halafu unakaa kunitukana” – Spika Ndugai

on

May 2, 2017 Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai alionesha kutopendezwa na baadhi ya wasaidizi wa ofisi ya bunge wanaohusika kuandika hotuba za kambi rasmi ya upinzania Bungeni ambazo zimekuwa zikivunja miiko ya utumishi.

Lazima tufike mahali tuheshimiane, tuwe tunakumbuka huyu Spika mnayemtukana na kumdharau ndio baba’ –Spika Job Ngugai

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: Wabunge walivyosimama kumtetea Halima Mdee 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments