Mix

DR wa tiba mbadala wa baada ya kushinda Bajaj mpya kutoka SportPesa

on

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bado inaendelea na utaratibu wake wa kurudisha fadhila kwa wateja wake na watanzania kwa ujumla waliyoipokea vizuri kampuni hiyo, SportPesa wanaendelea na promosheni yao ya Shinda na SportPesa ambayo inawapa nafasi wateja wake kushinda Bajaj 100 ndani ya siku 100.

Kijana wa kitanzania anayejulikana kwa jina la Hassan Mussa Vidallah mwenye umri wa miaka 24 mkazi Kijichi Dar es Salaam amaefanikiwa kushinda Bajaj mpya kutoka SportPesa, unaweza kujisali na kuendelea kucheza kwa kutuma neno ‘GAME’ kwenda 15888 au ingia sportpesa.co.tz

“Mimi na mke wangu tunawashukuru sana SportPesa kwani wanaenda kubadili maisha yetu, Siku ya kwanza kuona ilikuwa mshindi kutoka Tanga aitwaye Cassian Anthony ambaye aliweka kwenye mtandao wake wa kijamii Instagram akisema ameshinda bajaji”

“ilibidi nimfate pembeni kwenye message ya kawaida na kumuuliza ni jinsi gani alicheza na kushinda, Cassian hakuwa mchoyo kwani alinielekeza na nikaingia kwenye ukurasa wa SportPesa ili kupata taarifa zaidi jinsi ya kushiriki promosheni hii”

“Kikubwa ni imani nilikuwa na imani kwamba kama ninavyoona watu wakitoa ushuhuda kwamba wanashinda basi na mimi ipo siku nitashuhudia ushindi wangu kwa watu na kweli imetokea.”

“Siwezi kuiongelea furaha yangu maana hii bajaji itanisaidia kufanikisha mambo yangu mengi sana ikiwemo kuisaidia familia yangu pamoja na wadogo zangu kuwaendeleza na masomo kwani sisi kwetu wengi tumeishia kidato cha nne hivyo hii itakuwa moja kati ya njia itakayo niingizia kipato ukiacha na kazi yangu ya sasa hivi ya kuuza dawa za tiba mbadala.”

Breaking: Nyumba za Lughumi alizoshindwa kununua” Dr. SHIKA” zinapigwa mnada

Soma na hizi

Tupia Comments