Mix

Salam za Wema Sepetu kwa mama Diamond Platnumz

on

July 7 2016 ni siku ambayo anazaliwa mama mzazi wa staa wa bongo fleva Diamond Platnumz ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia mrembo Wema Sepetu ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama yake Diamond akaisindikizia na maneno haya .. >>>’Happy Birthday mamy akee…. ???

Screen Shot 2016-07-07 at 1.37.45 PM

ULIIKOSA HII EXCLUSIVE YA WEMA SEPETU KUHUSU DIAMOND KUMPOST INSTAGRAM 

Soma na hizi

Tupia Comments