AyoTV

VIDEO: Mastaa wa Bongo walivyotokea Bungeni leo, Wema Sepetu, JB, Masanja, Lilian na wengine

on

Baada ya jana Diamond Platnumz na Mafikizolo kukaribishwa Bungeni, leo May 13 2016 Mastaa wengine wa Bongo wakiwemo Wema Sepetu, Masanja Mkandamizaji, Jacob Stephen (JB), Single Mtambalike, Miss Tanzania 2014 lilian Kamazima na wengine wamefika Bungeni.

Hii hapa video yao nimekusogezea…

ULIIKOSA HII DIAMOND NA MAFIKIZOLO WALIVYOKARIBISHWA BUNGENI ?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments