AyoTV

Kwanini kocha Mayanja wa Simba hampi nafasi kikosini Said Ndemla? (+Video)

on

February 3 kocha wa Simba Jackson Mayanja amekutana na swali la waaandishi wa habari juu ya kiungo wa Simba anayeichezea timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Said Hamisi Ndemla kutopewa nafasi kwenye kikosi cha Simba toka kocha Masanja aanze kazi.

Kama ulikua hujui, Wataalamu wa mambo wanasema Ndemla ameichezea Simba sio zaidi ya dakika 50 hadi sasa ndio maana tumemleta Kocha Mayanja kwenye hii video hapa chini atujibu kwanini Ndemla hapewi nafasi.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments