Top Stories

Mstaafu Kikwete hajakaa kimya “Karibu tena Lowassa, uamuzi wa busara”

on

Leo March 1, 2019 Moja ya habari kubwa Tanzania ni tukio la Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kurudi katika chama chake cha zamani CCM na kpokelewa na Rais Dr. John Magufuli.

Mstaafu Kikwete hajaacha taarifa hii ipite ameamua kuandika katika page yake ya Twitter “Karibu tena nyumbani. Hongera kwa uamuzi wa busara”

RAIS MAGUFULI AWAPA ONYO WAKUU WA MIKOA NA WILAYA “SITAWAVUMILIA UTAONDOKA”

Soma na hizi

Tupia Comments