Top Stories

‘Mvua ya mawe; ilivyoshuka Mbeya kama Arusha (+video)

on

Leo March 19, 2019 Katika Jiji la Mbeya imenyesha mvua ya barafu maarufu kama ‘mvua ya mawe’ katika maeneo mbalimbali ya Mji huo kwa muda usio zidi nusu saa, ikumbukwe wiki kadhaa zilizopita mvua kama hiyo ilinyesha pia katika Jiji la Arusha.

MGOMO: TAMKO LA KAMANDA MBEYA “NAMWAGA ASKARI NA HATUBEMBELEZANI”

Soma na hizi

Tupia Comments