Roma Mkatoliki katika Exclusive Interview na Millard Ayo ameweka wazi jinsi Marehemu Ruge Mutahaba alivyopambana ili kuhakikisha wimbo wa ROSTAM wa Roma na Stamina ‘Parapanda’ haufungiwi kama ilivyokuwa imeamuriwa awali na BASATA.