Top Stories

Taarifa ya uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli toka Ikulu

on

Leo March 19, 2019 Nakusogezea taarifa kutoka Ikulu amabpo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Hassan Abeid Mwang’ombe kuwa PostaMasta Mkuu.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Mwang’ombe umeanza tarehe 12 Machi, 2019.

Kabla ya uteuzi huo, Mwang’ombe alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

RAIS MAGUFULI AAGIZA NCHI TATU ZIPEWE MSAADA WA VYAKULA NA DAWA

 

Soma na hizi

Tupia Comments