Top Stories

Wanafunzi Wanyarwanda wanaosoma TZ wamekamatwa na Uhamiaji “wana mkopo elimu ya juu” (+video)

on

Wanafunzi wawili wa Chuo Vikuu wamekamatwa na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera baada ya kubaini wanafunzi hao ni raia wa Rwanda na wamesoma Tanzania huku wakiwa na Mkopo wa Serikali kinyume na utaratibu.

LUKUVI AFIKA KWA ALIEJENGA MPAKANI MWA KENYA NA TANZANIA, ATOA MAAGIZO

Soma na hizi

Tupia Comments