Top Stories

Kilichofanyika Zanzibar baada ya Maalim Seif kuhamia ACT Wazalendo (+video)

on

Baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, Maalim Seif Sharifu Hamad kutangaza kujiunga na chama cha ACT Wazalendo, AyoTV na millardayo.com imefunga safari hadi Visiwani humo.

Mmoja kati ya waanzilishi wa CUF ambaye sasa ni Mwanachama mpya wa ACT Wazalendo, Salim Bimani amesema ni zaidi ya wananchi laki mbili watajiunga na chama hicho na wanasubiri utaratibu.

Amesema hatua hiyo inapelekea kuonyesha wananchi wapo makini na waangalifu, wanaheshimu uhuru wao uliopo ndani ya Katiba.

“Wazanzibar wengi hawapendi kuona haki zao zinachezewa, kutawanywa ambapo kuiunga mkono ACT Wazalendo tunaamini ni chombo imara kitakachotetea haki ya Watanzania,” Bimani

DUUH! MAMA ANATUMIA UGORO KUPUNGUZA HAMU YA TENDO LA NDOA, MTAZAME

Soma na hizi

Tupia Comments