Top Stories

Lukuvi afika mpakani, amtembelea aliejenga mpakani mwa Kenya na Tanzania (+video)

on

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wilium Lukuvi amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigera kufanya kikao cha ujirani mwema na Mkuu wa Mkoa wa nchi jirani ya Kenya katika Kijiji cha Jasini kilichopo mpakani mwa nchi hizo mbili.

DUUH! MAMA ANATUMIA UGORO KUPUNGUZA HAMU YA TENDO LA NDOA, MTAZAME

Soma na hizi

Tupia Comments