Habari za Mastaa

Staa Usher na mpenzi wake wabarikiwa kupata mtoto wa kiume

on

NI Mkali kutokea nchini Marekani, Usher na mpenzi wake Jennifer Goicoechea wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume.

Taarifa hizo zilithibitisha na Usher kupitia ukurasa wake wa instagram juu ya kuongeza mwanafamilia mwingine.

Huyu anakuwa ni mtoto wa pili tangu wawili hao wawe katika mahusiano yao, unaweza ukatazama hapa kw chini jinsi Usher alivyotoa taarifa hiyo ya kupata mtoto wa kiume.

View this post on Instagram

 

A post shared by Usher (@usher)

MTANZANIA WA KWANZA KUHOJIWA NA KELLY CLARKSON MAREKANI “SIKUAMINI”

Soma na hizi

Tupia Comments