Mix

Staa wa kike kutokea Marekani atangazwa kuwa Bilionea

on

Rihanna ametangazwa kuwa ni sasa ndiye Mwimbaji wa kike tajiri zaidi duniani na ametangazwa na Forbes kuwa sasa ana thamani ya $ 1.7 bilioni na amejipatia pesa nyingine kupitia bidhaa zake za urembo za Fenty Beauty.Rihanna pia amepata utajiri wake kutoka kwa kampuni yake ya nguo ya ndani, Savage x Fenty ambayo inaripotiwa kuwa na thamani ya $ 270m.

Imekuwa ni miaka mitano tangu Rihanna atoe albamu ambapo licha ya Mashabiki kumtaka aachie migoma mipya na album RiRi ameonekana kuwa busy sana na biashara zake zisizo za muziki.

DIAMOND AUMIZWA NA MANARA KUONDOKA SIMBA AFUNGUKA YA MOYONI “NIMEUMIA”

MOSE IYOBO KAFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA RUBY “TUKO PAMOJA MUDA MREFU, PENZI JIPYA, NIMESAHAU YA NYUMA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments