AyoTV

Kama ulimis kilichofanywa na Alikiba, Diamond na Harmonize kwenye stage Xmas hii !

on

Mastaa wengi wa bongofleva wamepiga show kwenye area tofauti Xmas hii, nilizoweza kukurekodia ni hizi pia ikiwemo ya msanii kutoka lebo ya Diamond >> Harmonize, nyingine ni ya Diamond mwenyewe Dar live Mbagala Dar es salaam na ya Alikiba Escape One Mikocheni Dar es salaam.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments