Mix

Hivi ndivyo Stamina alivyotoa Burudani ya nguvu kwa watu wake Morogoro… (Pichaz)

on

Screen Shot 2015-08-06 at 1.33.53 PM

Vodacom Tanzania wameandika headlines nyingine Morogoro kwa watu wao wa nguvu kabisa, japo wanatoa huduma ya Mawasiliano lakini bado kuna mengine mazuri kabisa ambayo Vodacom huwa inawasogezea watu wake ikiwemo burudani.

Safari hii ilikuwa elimu ya ‘M-Pawa Tumekufikia’ ambapo wateja wao wameelimishwa kuhusiana na uzuri wa huduma hiyo inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo nafuu kwa urahisi zaidi.

Screen Shot 2015-08-06 at 1.34.04 PM

Stamina atoa burudani kwa wakazi wa Morogoro

Baada ya elimu ni burudani, YES !! Mtu wa mji kasoro bahari, Rapper Stamina alipanda kwenye stage na kutoa burudani nzito kabisa watu wakaenjoy..!!

Screen Shot 2015-08-06 at 1.34.13 PM

HAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments