Habari za Mastaa

Stan Bakora kafunguka ujumbe wake wa kuolewa na Manara, Simba kufungwa (video+)

on

Ni mahojiano na Mchekeshaji Stan Bakora ambaye siku kadhaa nyuma alitrend mtandaoni kutokana na misimamo yake juu ya Club ya Simba ambayo amekuwa akishabikia.

Kwenye mahojiano haya Stan ameshare na sisi mengi ikiwemo Mwanamke aliyewahi kumuumiza kwenye mahusiano ya kimapenzi.

 

KWISA AWASHUKURU MASTAA WALIOJITOA KWENYE HARUSI YAKE, AMWAGIA SIFA MENEJA WA HARMONIZE

Soma na hizi

Tupia Comments