Michezo

Huyu ndiye star anae hamia Manchester United

on

manchester_united_logo_1280x1024

Klabu ya Manchester United imepanga kutoa kitika cha pound milioni 60 kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa kijerumani Thomas Muller (25) anae ichezea klabu ya Bayern Munich.  Manchester itamsajili mjerumani huyo kama mbadala wa mshambuliaji wao wa kiholanzi Robin Van Persie.

mulaa

Thomas Muller anatajwa kuhamia United

Tayari United imekubaliana na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki dau la pound milioni 4.7 kama ada ya uhamisho wa Van Persie na atafanyiwa vipimo vya afya weekend hii na kusaini mkataba wa miaka minne na mshahara wa pound 200,000/=.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments