Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Picha 15 zinazoonesha sura za mastaa walivyokuwa watoto na wanavyoonekana sasa hivi !!

on

RIHANA

Tunamjua Rihanna wa sasa hivi, wa zamani alikuwaje?? 50 Cent je? Nicki Minaj, Drake, Chris Brown..

Nimezikusanya picha hizi za wasanii hawa 15 wa Marekani kabla na baada ya kuwa maarufu.

RIHANA

Rihanna.. Picha ya kwanza ni zamani akiwa kwao Barbados huko. Kabla hata ya ustaa.

lilwayne

Lil Wayne utotoni na ukubwani yani. Hapo kabla hata hajaujua vizuri mtaa.

50cent

50 Cent

beyoncebeforeafter

Mrs. Carter.. Mama Blue Ivy.. Beyonce

alicia

Alicia Keys

celebrities-before-they-were-famous-collage-drake

Rapper Drake

kanye-loop

Kanye West kwenye mwonekano wa zamani na wa sasa hivi.

jfkbnncxrqeunl1pkn7j

 Gucci Mane

nicki-minaj

Nicki Minaj

chris-brown

Chris Brown upande huu na mama yake, picha nyingine yuko na suti yake ukubwani sasa.

jay z

Rapper Jay Z.. Enzi za ujana na enzi hizi za utu uzima wake.

ice

Rapper na mwigizaji Ice Cube

Snoop

Calvin Cordozar Broadus Jr a.k.a Snoop Dogg

pharell

Mkali mwingine Marekani, Pharell Williams kwenye mwonekano wa zamani na sasa.

missy-elliot-split

Missy Elliot

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments