Habari za Mastaa

Steve Harvey kaulizwa na Ellen kuhusu uhusiano wa binti yake

on

Mapema wiki hii, mwigizaji na mtangazaji maarufu wa kipindi cha televisheni cha ‘Family Feud’ nchini Marekani, Steve Harvey aonekana kwenye show ya Ellen DeGeneres.

Katika mahojiano hayo miongoni mwa maswali aliloulizwa katika show ya Ellen ni kuhusu uhusiano wa binti yake Lori Harvey na mwigizaji  Michael B Jordan.

Katikati ya mahojiano hayo Steve alionekana kushangazwa kwa picha ambayo iliwekwa na Ellen na kusema ..”Sijawahi kuona picha hii kabla, unanifanya nisiwe na raha”

Michael Na Lori ni miongoni mwa couples zinazofuatilia kwasasa tangu wawili hao kuonekana sehemu mbalimbali wakiwa pamoja.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu kile alichoulizwa  Steve Harvey na Ellen kuhusu uhusiano wa binti yake na Michael Jordan.

 

Tupia Comments