Habari za Mastaa

Steve Nyerere afunguka “Nitaushangaa uongozi, hatuwezi kwenda na wanaokebehi”

on

Ni Headlines za Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere ambae time hii anazungumza na Vyombo vya Habari.

“Nitaushangaa Uongozi wa Shirikisho la kama utawakalia kimya wasio na nidhamu, hatuwezi kwenda na wanaokebehi wakati hata tukiwaita kwenye vikao hawaji, leo wangekua watokaji/washiriki wazuri wa vikao Msemaji nisingekuwa mimi wangekua wao wenyewe”

.

“Wale wooote yale maoni yao Shirikisho limeyachukua, mimi siwezi kung’oka kihunihuni eti kwa sababu Watu eti masaa 48, kamfanyie Bibi yako masaa 48 huko, eti uning’oe kihuni tu” ——— asema Msemaji wa Shirikisho la Wasanii Steve Mengele

 

Tupia Comments