AyoTV

VIDEO: Steve Nyerere alivyoigiza sauti ya Mwalimu Nyerere mbele ya Waziri mkuu Majaliwa

on

Ni time ya kukutana na Mchekeshaji Mtanzania Steve Nyerere ambaye tumekua tukimuona mara nyingi akisimama kuchekesha kwa kuigiza sauti za viongozi hasa Hayati Mwalimu Nyerere ambapo hii ilikua Dodoma, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Jamaa anaemuigilizia Mstaafu Jakaya Kikwete sauti? tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments