Top Stories

Steve Nyerere alivyosindikizwa na watu wake kuchukua Fomu ya Ubunge Kinondoni (Pichaz)

on

Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.57 PM

Chama cha CCM kilitangaza kwamba wameanza rasmi kutoa Fomu kwa wale wanaogombea nafasi za Ubunge na Udiwani, jana July 16 2015 tukamwona Mkubwa Fella akirudisha fomu yake ya kugombea Udiwani kata ya Kilungule, Mbagala Dar es Salaam.

Staa wa Bongo Movie, Steve Nyerere nae kaingia kwenye Headlines, alisema anautaka Ubunge wa Kinondoni na leo amefika Ofisi za CCM Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam… Kachukua fomu na ahadi aliyoitoa ni kwamba anairudisha fomu leoleo mtu wangu !!

Screen Shot 2015-07-17 at 1.02.09 PM

Screen Shot 2015-07-17 at 1.02.19 PM

Steve Nyerere akiwa na marafiki zake waliomsindikiza kwenda kuchukua fomu.

Screen Shot 2015-07-17 at 1.02.26 PM

Screen Shot 2015-07-17 at 1.00.58 PM

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge

Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.06 PM

Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.14 PM

Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.21 PM

Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athumani Sheshe

Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.31 PM

Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.40 PM

Screen Shot 2015-07-17 at 1.01.48 PM

Steve akisaini kuchukua fomu hiyo, pembeni yake yuko mwigizaji Cate wa Mambo Hayo pamoja na Thea.

Tupia Comments