AyoTV

#AyoTV: Ilikuwaje mpaka Steve Nyerere akalishwa sumu? anachokiamini ni hiki..!! (+Video)

on

Kumekuwa na stori mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu ishu ya wasanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere na JB kulishwa chakula chenye sumu !!

Hii ni story kwenye ukurasa wa mbele gazeti la KIU la tarehe 13 Novemba 2015

Hii ni story kwenye ukurasa wa mbele gazeti la KIU la tarehe 13 Novemba 2015

Hii hapa sehemu ya Interview ambayo #AyoTV ilifika nyumbani kwake, Kinondoni Dar es Salaam na kasimulia kila kitu ilivyokuwa akala chakula chenye sumu, matibabu, anachokiamini na kinachoendelea kwa sasa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments