Habari za Mastaa

Weusi kwenye stage pembeni kampani ya Waziri Nape Nnauye alivyokamata gitaa… (+Video)

on

Siku chache zilizopita kulikuwa na party ya timu nzima ya Clouds Media Group pamoja na waalikwa mbalimbali pale Escape One, Mikocheni Dar es Salaam.

Ilikuwa ni party ya kusherehekea hatua nyingine kubwa ya kuishuhudia Clouds TV ikipasua anga kwenye channel 294 kwenye king’amuzi cha DSTV.

Kwenye stage alipanda pia Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akaonesha pia ufundi wake kwenye kucharaza gitaa huku crew nzima ya Weusi ikiangusha burudani ya Don’t Bother… Video hii hapa.

https://www.youtube.com/watch?v=M4OY5VINf_0

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments