Habari za Mastaa

Kwenye U Heard ya leo Novemba 11 rapa Stamina ndio kahusika.

on

Jordan IIIKwenye XXL ya Clouds Fm leo Novemba 11, U Heard inamhusu rapa toka Morogoro Stamina, ishu inahusu kukopa viatu na kumkimbia mdeni wake bila kulipa deni.

sikiliza kupitia 87.5 Clouds Fm Shinyanga.

Bonyeza play hapa chini ili kusikiliza.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments