on air with millardayo

VIDEO: Stan Bakora alivyofungiwa nyumbani kwa BATULI, Shobo Dundo na mengine.

on

Stan Bakora ni mwigizaji/mchekeshaji wa Tanzania ambaye kuanzia mwaka jana alichukua umaarufu wa kutosha kutokana na zile video zake fupifupi zinazosambaa Whatsapp pamoja na uigizaji wake mwingine ukiwemo wa sauti ya Nay wa Mitego, tazama hii video hapa chini uhusike na kichwa cha habari.

Soma na hizi

Tupia Comments