Miji/Nchi

PICHA 18: Muonekano wa Mji Mkongwe ‘Stone Town’ Zanzibar

on

Ni kazi yangu kuhakikisha nakusogezea picha za muonekano wa maeneo ya miji tofauti tofauti ya ndani na nje ya Afrika ilivyo ambayo huenda haujafika na unatamani kutembelea siku ukipata nafasi, leo March 28, 2017, nimezipata hizi picha 18 za muonekano wa Mji Mkongwe ama Stone Town kama unavyofahamika na watu wengine.

Mji huu upo Pwani ya Magharibi ya Unguja katika Visiwa vya Zanzibar ambapo kuna mengi ya tofauti na miji mingine mikongwe Tanzania katika mji huu ikiwemo uwepo wa nyumba nzuri za kale ambazo zimekuwa kivutio kikubwa kwa watalii.

VIDEO: Umeisikia hii ya kubadilishwa hekari 30 za bahari kuwa nchi kavu kwa ajili ya kujengwa Hotel Zanzibar? Bonyeza play hapa chini kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments