Ad

Stori Pekee

‘Wasiotaka kazi kwasababu ya mishahara midogo waache kazi’ Rais Magufuli (+Pichaz)

on

Mei 1 2016 Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (MEI MOSI) yamefanyika kitaifa mkoani Dodoma na mgeni rasmi alikuwa Rais John Pombe Magufuli, Chama cha Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) kilipata nafasi ya kumweleza Rais Changamoto mbalimbali katika kazi ikiwemo ufinyu wa mapato.

Katika hotuba yake Rais Magufuli amesemasema ‘Katika nchi hii wapo watu wanapata mishahara ya chini sana lakini kuna watu pia wanapata mishahara mikubwa sanaa!! kazi zinafanywa na watu wa chini, wao wanapata mishahara mikubwa

Wale waliokuwa wanapata mishahara mikubwa itakuwa mwisho Milioni 15 kushuka chini ili hizi nyingine tuwasaidie wanaopata mishahara midogo

Tanzania hii ni yetu wote, wasiotaka kufanya kazi kwasababu wamezoea mishahara ya milioni 30 waache kazi hata leo, haiwezekani katika nchi moja mtu anapata mshahara wa milioni 30 alafu mwingine anapata laki tatu

Hapa nimekusogezea hizi picha 15 kutokea katika viwanja vya Jamhuri, Dodoma..

AW1A3594

.

AW1A3651

.

AW1A3671

.

AW1A3673

.

AW1A3698

.

AW1A3797

.

AW1A3828

.

AW1A3868

.

AW1A3968

.

AW1A4086

.

AW1A4101

.

AW1A4180

.

AW1A4282

.

AW1A4450

.

AW1A4470

.

ULIIKOSA HII YA SENTENSI ZA PROFESA TIBAIJUKA KUHUSU KUANZISHWA KWA MAHAKAMA YA MAFISADI?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments