AyoTV

VIDEO: ‘Watanzania waendelee kuoana, sheria za kuwabagua hazina nafasi’ -JPM

on

March 17, 2017 Rais John Pombe Magufuli amelifuta agizo lililotolewa jana March 16, 2017 na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe linalotoa sharti la kuwa na cheti cha kuzaliwa kwa watu wote watakaofunga ndoa kuanzia tarehe 01 Mei, 2017.

Rais Magufuli amefuta agizo hilo leo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari muda mfupi kabla ya kuondoka katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma na kurejea Jijini Dar es Salaam na tayari nimekusogezea full video hapa chini…

VIDEO: Rais Magufuli alivyotembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino Dodoma 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments