Mwimbaji staa wa RnB Tanzania ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu Steve RnB amekaa kwenye EXCLUSIVE interview ya Ayo TV na millardayo.com na kueleza ni kwa nini amekuwa kimya kwenye muziki, changamoto alizopitia kwenye ndoa hadi kuachana na mkewe pamoja na safari za nje.
Kwenye VIDEO hii hapa chini Steve RnB kazungumza mengi ikiwemo changamoto alizozipitai kwenye ndoa yake hata ikapelekea kuachana na mkewe huku akibainisha safari zake za nje na ujio wake mpya.
VIDEO: “Mimi na Wema Sepetu tunakutana sana” – Diamond Platnumz